Breaking




Wednesday 4 October 2017

YANGA KUCHEZA MECHI YA KIRAFIKI NA KMC JUMAPILI HII

Sungo blog

Mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara mara tatu mfululizo Dar Young Africas(Yanga) wameandaa mchezo wa kirafiki dhidhi ya klabu ya KMCya jijini Dar es salaam inayoshiriki ligi daraja la kwanza.

Mchezo huo umepangwa kufanyika katika uwanja wa Azam complex-Chamazi  siku ya Jumapili tarehe 08, oktoba 2017 saa 10:oo jioni.

Viingilio kwemye ,chezo huo ni VIP Tsh5,00  na mzunguko TH 3,000.

Katibu wa Yanga,Charles Bonifas Mkwasa amesema mapato yatakayopatikana kwenye mchezo huo yatatumika kuukarabati uwanja wa klabu hiyo wa Kaunda uliopo pale Jangwani.

No comments:

Post a Comment