Breaking




Tuesday 13 March 2018

DOGO JANJA KUONGEZA MKE WA PILI


Sungoblog


Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janjaamefunguka mipango yake ya kuoa mke wapili.

Dogo Janja ambaye alimuoa Irene Uwoyamwaka jana ameiambia The Playlist ya TimesFm kuwa kuoa mke wa pili hadi wa nne nimoja ya mipango yake na atafanya hivyo kilabaada ya miaka 10.

“Inshallah kuongeza wa piliwa tatuwa nanehapo ukishakaa vizuri kiuchumi na mwenzakoaweze ameridhia,” amesema.

“Hata wanne sio mbaya hapo tunaongeleaMwenyenzi Mugu akitujalia uhai labda baadaya miaka 10 naweza kuongeza wa piliikifikamiaka 10 tena naongezayaani nikifika miaka50 pale niwe nimekamilisha wanne,”ameongeza.

Dogo Janja na Irene Uwoya waliripotiwakufunga ndoa November 25, 2017, hata hivyoni vigumu kutaja tarehe kamili kutokana nanamna walivyoliweka suala hilo hasa kwaupande wa vyombo vya habari na mitandao.

No comments:

Post a Comment