Breaking




Sunday 11 March 2018

PAUL MAKONDA ATOA AGIZO KWA JESHI LA POLISI KUWAKAMATA WANAOTUKANA VIONGOZI WA KITAIFA

Sungo blog

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwafikisha mahakamani watu wote wanaowatukana viongozi wa kitaifa. Pia, RC Makonda ameitaka TCRA kushiriki katika ukamataji wa halifu wa mitandao.

No comments:

Post a Comment