Breaking




Thursday 15 March 2018

UGANDA:MUHUDUMU WA NDEGE AANGUKA KUTOKA KWENYE NDEGE

Sungo blog

Kutoka nchini Uganda, Mhudumu wa Ndege kwenye ndege ya Emiraesamepelekwa hospitali haraka baada ya kuanguka kutoka kwenye mlango wa dharura wa ndege hiyo hadi chini ndege hiyo ikiwa bado Airport.

Ndege hiyo ambayo ni Boeing 777ilikuwa katika Uwanja wa Ndege wa Entebbe, muda mfupi tu baada ya kutua na abiria wengine wakiwa wanapanda kwenye ndege ili ndege hiyo iweze kuruka ikielekea Dubai.

Jeshi la Polisi nchini humo bado linafanya uchunguzi wa jinsi tukio hilo lilivyotokea na nini haswa kilisababisha.

No comments:

Post a Comment