Breaking




Wednesday 5 July 2017

Wahitimu Form Four & Six waipokee hii good news kutoka St John’s University

Nafahamu kuwa nina watu wangu wa nguvu ama wao au watu wao wa karibu wamehitimu masomo ya ama Kidato cha Nne au Sita na wanatafuta Taasisi za Elimu ya juu ili wajiendeleze zaidi ndiyo maana ST JOHN’S UNIVERSITY OF TANZANIA wamenifikishia good news ambayo napenda pia nawe ikufikie.
Naambiwa Watanzania wameendelea kuhakikishiwa wataendelea kupata huduma nzuri ya masomo baada ya St John’s University of Tanzania (SJUT) KAMPASI YA CHIEF MAZENGO DODOMA, kuwatangazia nafasi za masomo katika ngazi ya CERTIFICATEna DIPLOMA kwa mwaka wa masomo 2017/2018 utakaoanza mwezi wa 09 mwaka 2017.

No comments:

Post a Comment