Sungo blog
Msanii Lady Jaydee amesema sasa hivihafikirii kufunga ndoa na mchumba wakeMnigeria ambaye pia ni msanii, kwa sababuhaamini kila mahusiano ni lazima yaishiekwenye ndoa.
Jaydee ametoa siri hiyo leo alipokuwa akipigastori na Big Chawa kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, na kuwataka watuwasitegemee jambo hilo kwake na wasikaririkila mahusiano yataishia kwenye ndoa, kwani wapo waliokimbilia ndoa na zikawashinda.
No comments:
Post a Comment